Kiwanja kipo zanzibar kinauzwa maeneo ya kidot karib na kendw nungwi. Ukubwa wa kiwanja ni 32by70 mita. Kutoka beach mita 200 tu. Kutoka barabara kii mita 200 tu. Ukijenga gorofa moja unaioata seaview. Ina document wamilik na wazawa wa zanzibar bei 160milion. Tsh.
Whatsapp +255685040190 ahsant
Pazur kwa apartment. Hotel. Lodge. Na kadhalika