Kiwanja kinauzwa Zanzibar maeneo ya chukwan coconity. Ukanda wa bahar. Umbali kutoka main road 300 mita. Na umbali kutoka beach 300 mita. Ukubwa wa eneo 30by30 mita. Kiwanja cha plan. Ni sehem ilio jengeka Kwa mijengo ya kileo. Pia Kuna nyumba nying za waarabu. Wahind. Wachina. Wazung. Pia na watu wa ma. Compuni walio pendezwa kukod hayo maeneo ni wengine wao ni wageni wazung. Na mchina.
Bei ya eneo 100milion tu.
Whatsapp +255685040190 karibu sana