Shamba kubwa la palachichi linauzwa
Loction:Mkoa wa Njombe
Ukubwa Acre 200
Shamba Lina Title deed:
Sifa ya shamba kama zifuatazo.
-Lina Inteck ya umeme
-Vitaru vya miche
-Barabara safi za ndani
-Nyumba ya wafanyakazi
-Miundombinu ya maji
-Godoun la kuhifadhi palachichi
-Mabwawa ya samaki
-Miti ya Palachichi IPO ya aina zote inayokuwa inayovunwa nishamba Bora miundombinu safi
-Tank la kuhifadhia maji Lita laki tatu(300,000)
-Shamba kila msimu linavunwa contena 4 zenye thamani ya zaidi ya Milion 400
Shamba linauzwa Billion 3.5 mazungumzo yapo
whatsapp +255685040190