Eneo linauzwa Fuoni – Kwa Chimbeni
Eneo la biashara linapatikana barabarani, Fuoni – Kwa Chimbeni, mkabala na Sai Lodge. Linajumuisha:
✅ Nyumba
✅ Fremu za maduka mbele (zinafaa kwa biashara)
✅ Eneo zuri kwa makazi na biashara
✅ Bei nafuu
📍 Mahali: Fuoni – Kwa Chimbeni, Zanzibar (mkabala na Sai Lodge)
Ukubwa wa eneo
70by70 futi
Bei 150milion
Whatsapp +255685040190 ahsant